Karibu Kwenye Tovuti Yetu

 

 

gw pic nic group photo

Karibu Kwenye Tovuti Ya Top Wellness Products – Tanzania

 

Kwanza tutoe shukrani zetu za dhati kwa uamuzi wako wa kuitembelea tovuti yetu, kwetu ni faraja kubwa sana kuwa nawe siku ya leo.

Hii ni tovuti  tuliyoiandaa kwa lengo moja kuu la mwajombe lauriankumwezesha mwananchi wa kawaida ambaye hawezi kuelewa maelezo yanayotolewa na tovuti nyingine zinazotoa maelezo kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya na dawa mbalimbali za kuondoa matatizo hayo  kwa lugha za kigeni. Lengo letu ni kumwezesha mwananchi wa kawaida kupata maelezo ya matatizo hayo na dawa hizo kwa lugha nyepesi ya kiswahili ili aweze kuelewa na kutoa maamuzi yaliyo sahihi.  Tunaamini watu wengi hushindwa kunufaika na tovuti mbalimbali kwa sababu ya kushindwa kuzielewa lugha zilitotumika katika tovuti hizo.

Kuna tovuti nyingi zinazolenga kumsaidia mteja kupata mahitaji yake ya kuboresha maisha, kwa bahati mbaya nyingi hutumia lugha za kigeni hivyo kumfanya mtu anayetumia kiswahili pekee kushindwa kunufaika na maelezo hayo. Kwa kugundua pengo hilo, tumeamua kuanzisha tovuti hii.

Pia katika tovuti hii tunakusanya na kutoa maelezo kuhusu kampuni mbalimbali zinazomruhusu mwananchi wa kawaida kujiunga nazo na kuuza bidhaa zao. Tunajaribu kuelezea kampuni zile ambazo tuna ushahidi wa kutosha kwamba zimekuwa zikiboresha maisha ya mwananchi na si vinginevyo.

Malengo Ya Tovuti

Kukusanya maelezo kwa kutumia wataalamu wetu wenye uzoefu wa biashara za kwenye mitandao ya dawa mbalimbali ambazo zimethibitika kusaidia watu wengi duniani na kuziorodhesha katika tovuti hii.

Kumsadia mwanachi ambaye atavutiwa na dawa aliyoisoma kuinunua nje ili aweze kuipata na kuitumia.

Kutoa fursa kwa watu wote wenye uzoefu katika fani hii na watumiaji wa dawa zilizoorodheshwa ndani ya tovuti hii kutoa michango yao ya mawazo kuhusu ubora wa dawa mbalimbali kwa kupitia blog yetu au sehemu ya comments chini ya kila ukurasa. Imani yetu ni kupata mawazo zaidi kuhusu ubora wa dawa tulizoziorodhesha humu na dawa nyingine ambazo hazijaorodheshwa hapa ambazo watu wengine wameshazitumia.

Mpangilio Wa Tovuti

Tovuti hii imepangwa kwa kutumia aina ya matatizo ambayo mtu anaweza kuwa nayo na anatafutia suluhisho. Kwa mfano, dawa zote zinazosaidia kupunguza uzito au unene ( weight loss products ) zitaorodheshwa pamoja na zile za kupunguza mwonekano wa uzee     ( anti-aging products ) zitaorodheshwa kwenye kundi moja hali kadhalika dawa za matatizo ya mifupa ( bone joint products ), dawa za  afya ya  mwanamke na dawa za afya ya viungo vya  uzazi vya mwanamme. Tumetenga sehemu nyingine kwa ajili ya matatizo ya afya mseto ambapo hapa tumejuimisha matatizo mengi yakiwemo matatizo yanayohusiana na ugonjwa wa kisukari, vidonda vya tumbo (peptic ulcers), kiharusi (stroke), msongo wa mawazo (stress), mfadhaiko (depression), Pumu, UTI, Kansa, High Blood Pressure (Hypertension)UKIMWI, hernia, tezi dume, mkanda wa jeshi,  Chunusi, n.k.

 

Ushuhuda Wa Christina Kupata Mtoto Kwa Bidhaa Za Green World

Video Ya Ushuhuda Wa Christina Kupata Mtoto

Bonyeza juu ya picha hiyo hapo juu kuangalia video ya ushuhuda wa Christina kupata mtoto baada ya kutumia bidhaa za kampuni ya Green World Tanzania.

 

Kwa wale wanaopenda biashara, tunaweka sehemu tuliyoiita “Uza Dawa, Pata Fedha” ambamo tumendika kuhusu biashara ya kuuza dawa za makampuni tuliyoyaoona na kuthibitisha kuwa yana mipango mizuri ya biashara ili mtu apendaye kuanza biashara hii aweze kujiunga.

Tumechambua kuhusu ukweli na uhalali wa  biashara ya mtandao,  faida za kufanya biashara ya mtandaonamna ya kuchagua kampuni bora ya biashara ya mtandao, siri za kufanikiwa katika biashara za mtandao, sababu za kushindwa katika biashara za mtandao na kuzitaja kampuni ambazo tunashauri mtu anayependa kufanya biashara za mtandao kujiunga.

 

ushuhuda kuhusu arthritis

Video ya Ushuhuda Wa Mama Wa Afrika Ya Kusini Kuhusu Kupona Arthrits Kwa Bidhaa Za Green World

 

Tumezielezea kampuni za TREVO Tanzania Ltd na Green World Tanzania.

Imani yetu ni kuwa ndugu msomaji wetu utaridhika na kile ambacho tumekiandaa. Hata hivyo tunaamini kuwa hatujafikia ubora wa kikomo katika utayarishaji hivyo tunaomba maoni yako ili tuweze kuboresha tovuti hii. Maoni yako pekee ndiyo msaada mkuu katika kuiboresha tovuti hii.

Kwa mawasiliano tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu kwa kujaza fomu hapa chini , au tuma barua pepe kwa anuani promota927@gmail.com au piga simu kwenye nambari zifuatazo: 0655 858027 au 0756 181651.

Tafadhali ungana nasi kwenye ukurasa wa facebook wa LINDA AFYA YAKO ili upate mfululizo wa mada zetu zinazohusu afya ya binadamu na jinsi ya kuanza na kufanya biashara za mtandao zinazohusu virutubisho vya mwili kwa mtaji mdogo kabisa. Tunaomba uweke LIKE kwenye ukurasa huo endapo utakuwa umependezewa na mada zetu.

 

Karibu tuwe sote

 

 

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3