linda afya

 

 

Karibu Kwenye Ukurasa Wa Mambo Ya Afya

 

Karibu kwenye ukurasa wa kuelimishana mambo yanayohusu afya zetu. Ukurasa huu utakupa elimu kuhusu mambo mengi yanayohusu afya, utapata ushauri wa dawa au product nzuri ya kutumia kulingana na tatizo ulilo nalo. Utapewa nafasi ya kuuliza maswali na kutoa maoni yako. Chagua lugha upendayo kuitumia kati ya kiswahili  na kiingereza, zote zinakubalika.

 

linda afya yako

Naitwa Laurian Mwajombe, mkereketwa wa masula ya afya na mwanzilishi wa ukurasa huu. Kuwa huru kabisa kuwasiliana nami kwa simu au kwa barua pepe. Unaweza pia kuwasiliana nami kupitia tovuti yangu ya masuala ya afya yakiwemo ya kupunguza uzito au unene, kuondoa uzee, afya ya sehemu nyeti  n.k. Tembelea tovuti yangu kwa kubofya juu ya anuani hii hapa chini:

 

http://www.topantiagingproducts.sagalawebs.com

 

Faida Za Kushiriki kwenye Ukurasa Huu

 

1. Kufahamiana na watu mbalmbali wenye mitizamo na mawazo mbalimbali ya mambo ya afya.

2.  Kupata elimu kuhusu mambo ya afya, kufahamu dawa na products mbambali ambazo unaweza kutumia kwa matatizo uliyo nayo.

3. Kupata msaada wa kuelekezwa sehemu ya kupata dawa na products  au kuagiziwa endapo vitu hivyo havipo katika soko la hapa nchini.

4. Kupata taarifa za uchambuzi kuhusu ubora wa makampuni yanayoruhusu watu kuuza dawa zao, ya hapa ndani ya nchi na ya nje. Hii ni kuwasaidia wale ambao watapenda kuuza dawa ili kujikimu maisha yao.

 

Naomba uweke LIKE yako kwenye ukurasa huu!!

 

 

Linda Afya Yako

 

 

Una Tatizo La Afya Au Unataka Kuchangia Mawazo Yako ?

 

Karibu kwenye ukursa wa kuelimishana kuhusu mambo yanayohusu afya zetu. Hapa utapata elimu kuhusu mambo mengi yanayohusu masula ya afya na dawa au products ambazo unaweza kutumia kwa tatizo ulilo nalo. Pia utapewa fursa ya kuuliza swali au kutoa maoni yako.  Chagua lugha upendayo kuitumia kati ya kiswahili au kiingereza, vyote vinakubalika hapa.

 

 

linda afya yako

Naitwa Laurian Mwajombe, mkereketwa wa masuala ya afya na mwanzilishi wa ukurasa huu. Kuwa huru kabisa kunipigia simu au kuwasiliana nami kwa barua pepe au kupitia tovuti yangu ya masula ya afya yakiwemo ya kuondoa uzee, kupunguza unene au uzito, afya ya sehemu nyeti, maumivu ya mifupa n.k. Tembelea tovuti yangu kwa kubofya juu ya anuani hii:

 

http://www.topantagingproducts.sagalawebs.com

 

 

Linda Afya Yako

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Namba Yako Ya Simu

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni Yako

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Hi Laurian!

dawa ya glucosamineIt’s so good to hear from you – I hope you are well. I was talking about Glucosamine which seems to be rebuilding the cartilage in my knee. After having it surgically inspected and scraped, I was told that due to age (!) I would soon be back for a knee replacement. That is now over a year ago, and my knee seems fine.I will most certainly look at the link  you provided. Best regards and wishes,
Karin (Johannesburg, Gauteng).

 

 

 

 

 

to edit

 
” Hiii Ndiyo Dawa Iliyonikoa, Nilifikia Kutembea Kwa Shida Sana “
 
Dawa Ya Maumivu Ya Joints Jamani hii ndiyo dawa iliyoniokoa, vinginevyo ningebaki mama wa nyumbani. Fikiria kupandisha ghorofa za Kariakoo na miguu mibovu. Mimi nina duka la viatu vya wanaume mtaa wa Narung’ombe. Kwa muda mrefu nilikuwa naumwa miguu sehemu za maungio hasa kwenye ankles. Nilitumia dawa nyingi, nakumbuka daktari mmoja wa hospitali moja ya Chang’ombe aliniambia hakuna suluhisho jingine isipokuwa upasuaji kwani alidai mifupa imesagika na baba yake alikuwa na tatizo kama hilo akafanyiwa upasuaji. Lakini nikaja kupata taarifa ya dawa hii na kuamua kujaribu. Nilitumia pakti mbili na baada ya hapo nikawa mzima. Napandisha ghorofa za Kariakoo bila tatizo lolote. Ni miaka miwili sasa imepita. Naamini kuwa nimepona.

Sheila Steven Maneno.

 

 

 
“Nashukuru Kwa Msaada Nilioupata Kutoka Kwenye Tovuti Hiii “
Tovuti bora ya Afya Tanzania
 

Mimi napenda kutoa shukrani zangu na ushuhuda kwa msaada ambao nimeupata kutoka tovuti hii. Kuna mambo mengi, siwezi kuyaorodhesha yote. Kubwa kabisa ni matatizo ya miguu. Nafanya biashara ya kuuza viatu vya wanaume mtaa wa Narung’ombe Kariakoo. Kupanda ngazi za kwenye maghorofa ilikuwa shughuli kwangu, lakini sasa nakimbia kama kijana mdogo. Ukipata ushauri mzuri, kuna vingi vinasaidia, tena sana.

Sheila Steven Maneno.

 

 

 
“Nashukuru Kwa Msaada Nilioupata Kutoka Kwenye Tovuti Hiii “
Tovuti bora ya Afya Tanzania
 

Mimi napenda kutoa shukrani zangu na ushuhuda kwa msaada ambao nimeupata kutoka tovuti hii. Kuna mambo mengi, siwezi kuyaorodhesha yote. Kubwa kabisa ni matatizo ya miguu. Nafanya biashara ya kuuza viatu vya wanaume mtaa wa Narung’ombe Kariakoo. Kupanda ngazi za kwenye maghorofa ilikuwa shughuli kwangu, lakini sasa nakimbia kama kijana mdogo. Ukipata ushauri mzuri, kuna vingi vinasaidia, tena sana.

Sheila Steven Maneno

Sheila Steven Maneno.

 

 

 
“Nashukuru Kwa Msaada Nilioupata Kutoka Kwenye Tovuti Hiii “
Tovuti bora ya Afya Tanzania
 

Mimi napenda kutoa shukrani zangu na ushuhuda kwa msaada ambao nimeupata kutoka tovuti hii. Kuna mambo mengi, siwezi kuyaorodhesha yote. Kubwa kabisa ni matatizo ya miguu. Nafanya biashara ya kuuza viatu vya wanaume mtaa wa

Narung’ombe Kariakoo. Kupanda ngazi za kwenye maghorofa ilikuwa shughuli kwangu, lakini sasa nakimbia kama kijana mdogo. Ukipata ushauri mzuri, kuna vingi vinasaidia, tena sana.

Sheila Steven Maneno.

USHUHUDA WANGU WA KAMPUNI YA GREEN WORLD

 

Naitwa Hilda Mahende, naishi Tabata Segerea (Kwa Bibi) mjini Dar Es Salaam. Kabla ya kuanza kufanya biashara za mtandao nilikuwa nauza duka la madawa hapa hapa mjini Dar Es Salaam. Siku moja katika kutafuta dawa za kumtibu mgonjwa wangu nilikutana na kijana mmoja ambaye alinieleza ubora wa kutumia dawa za kampuni ya Green World. Baada ya kununua dawa hizo na mgonjwa wangu kupona, nilikwenda kumshukuru kaka huyo na katika maongezi alinishawishi nijiunge na kampuni hiyo.

ushuhuda wa Hilda wa kampuni ya Green World

Niliamua kujaribu na kujiunga nayo mwezi March 2013. Nilifanya kazi ya kuuza dawa kidogo kidogo na katika mwezi huo huo wa kwanza nilifanikwa kuuza dawa za thamani ya Tshs 400,000/, wakati huo huo nilikuwa nawashawishi marafiki zangu kujiunga na kampuni hiyo. Hadi Oktoba 2013 nilikuwa nimefika ngazi ya 6*C na nikapewa fursa ya kutembelea miji ya Nianjin, Hanzou, Suanzou na Shanghai huko Uchina kwa gharama za kampuni.

Baada ya hapo nilipata kishawishi cha kujiunga na kampuni nyingine na kuiacha Green World nikifikiri kwamba ningepata mafanikio zaidi kwenye hizo kampuni nyingine nilizoambiwa. Niliyumba na kujiunga na kampuni nyingi tu, moja baada ya nyingine bila kupata mafanikio makubwa kama nilivyotegemea.

Nakumbuka siku moja nilikutana na kaka anayeitwa James, nilimsimulia kuhusu ninavyokosa maendeleo kutoka kwenye biashara za mtandao. Baada ya kunisikiliza kwa makini, James aliniambia kuwa lilikuwa kosa kubwa sana kuiacha kampuni ya Green World. Akanifafanulia makosa yote niliyokuwa nimeyafanya wakati nakifanya biashara ya kampuni hiyo, kisha akanipa mwongozo wa jinsi ya kufanikiwa na Green World. Kwa vile niliona waziwazi makosa yangu na ukweli katika maneno yake, niliamua kurudi upya na nguvu mpya kwenye kampuni yangu ya zamani. Hiyo ilikuwa Oktoba 2014.

Niliamua kuanza upya kabisa na kufuata mwongozo wa kaka James. Hivi leo ninavyoandika ushuhuda huu (Januari 2015) nimefikia ngazi ya sita na ninapata bonus ya zaidi $1000 kwa mwezi na nafurahi kukuambia msomaji wangu kwamba tarehe 21 Februari 2015 nitapewa gari lenye thamani ya Tshs milioni 18 na kampuni kama tuzo kwa kazi yangu ya miezi 4 tu.

Natoa ushuhuda huu kwamba biashara za mtandao ni za kweli, kinachotakiwa kwanza ni kuchagua vizuri kampuni ya kufanya nayo kazi. Pili ni kusoma kwa makini na kuelewa mpangilio wa kampuni yako. Tatu na mwisho ni kujituma katika kampuni yako bila kuyumbayumba toka kampuni moja hadi nyingine. Kwangu mimi, Green World ndiyo kampuni bora ya mtandao nchini Tanzania.

Karibu Green World, nipo tayari kukuongoza kwa lo lote ili uweze kupata mafanikio makubwa hata zaidi ya haya niliyopata mimi.

Kuniuliza maswali au kupata ushauri wo wote kuhusu Green world piga simu ifuatayo: 0719609803.

Ahsante kwa kusoma ushuhuda wangu. Nakukaribisha Green World kwa mikono miwili.

Hilda Mahende:  0719609803.

 

 

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3