KARIBU TREVO TANZANIA


kirutubisho cha trevo

 

 

Naitwa Laurian Raphael Mwajombe

Karibu Sana TREVO.

Mimi ni Life & Health Coach wa kampuni ya Trevo Tanzania Ltd mwenye kitambulisho (ID) namba 4576974. Karibu Trevo Tanzania. Kwa niaba ya kampuni napenda karibu trevo tanzaniakukukaribisha katika kampuni yetu inayohusika na kuuza kirutubisho cha TREVO. Kwanza nikupongeze kwa kuchagua kuwa mmoja wa watanzania wachache wenye nia ya kuboresha maisha yao kwa kupitia kampuni hii bora ambayo haina mwenziwe wa kushindana naye. Ni kampuni bora Tanzania iliyokuja na bidhaa bora inayojiuza yenyewe na mfumo mpya wa ulipaji wenye lengo moja kuu la kuboresha maisha yako wewe mfanya biashara, tofauti kabisa na kampuni nyingine zilizozoeleka. Jiunge leo uanze kubadili maisha yako!

Kuwasiliana nami   0655 858027 au 0756 181651

Kupata historia ya kampuni hii hapa nchini kwetu Tanzania na maelezo machache kuhusu kirutubisho hiki cha TREVO soma ukurasa wa “Kampuni Ya Kirutubisho Cha Trevo“.

Kampuni yetu inamkaribisha mtu ye yote mwenye nia ya dhati ya kufanya biashara na kampuni yetu bila kujali elimu aliyo nayo au kipato chake. Hadi kufika hatua hii ya kusoma barua hii, wewe pasipo shaka ni mtu mwenye nia ya dhati ya kufanya biashara hii, hivyo, KARIBU SANA TUWE SOTE. Nitakuelekeza mambo machache ya kufanya ili ujiunge na uanze biashara hii vizuri zaidi. Mimi kila siku nitakuwa karibu sana na wewe hivyo usisite wakati wo wote kuuuliza swali lo lote linalohusu biashara yetu. Maelezo ya kina utayapata kwenye tovuti yako binafsi utakayopewa mara tu baada ya kujiunga.

 

Kuchagua Mtaji Wa Kuanzia

 

Kampuni imegawanya mitaji ya kuanzia katika mafungu sita PS1, PS2 hadi PS6. Kila fungu lina idadi tofauti ya chupa za Trevo za kuanzia. Unaweza kusoma mgawanyo huo kwa kuingia kwenye tovuti ya kampuni na kwenda ukurasa wa 5 hapa:

http://trevocorporate.com/?page_id=4663

Kama unapenda kusoma Compensation plan ya kampuni hii kwa lugha ya kiingereza soma hapa:

http://trevocorporate.com/?page_id=4663

Kwa kifupi jina la kundi, idadi ya chupa na kiasi cha kuanzia ni kama ifuatavyo:

PS1 chupa 1 TZS    187,050
PS2 chupa 3 TZS    466,700
PS3 chupa 6 TZS    886,200
PS4 chupa 9 TZS    1,305,700
PS5 chupa 15 TZS  2,144,650
PS6 chupa 24 TZS 3,403,150

Ukijiunga na chupa moja, wewe utaitwa Preferred Customer, hutaheabiwa kama msambazaji wa bidhaa wa kampuni bali unaweza ku-upgrade muda wowote ukahesabika kama msambazaji rasmi wa kampuni na kunufaika na watu walio chini yako.

Ukijiunga katika kundi lolote kuanzia PS2 na kuendelea, wewe moja kwa moja utatambulika kama msambazaji rasmi wa kampuni, utapewa namba ya utambulisho wa kampuni, utapewa tovuti binafsi ya kufanyia kazi na utanufaika kutokana na watu unaowaingiza chini yako. Kadri unavyojiunga kwa idadi kubwa zaidi ya chupa, utauziwa chupa moja kwa bei ya chini zaidi hivyo kupata faida kubwa zaidi kutokana na mauzo ya rejareja.

Mbali na faida ya mauzo ya rejareja, kampuni hii imekuja na mpango wa malipo mpya ambao haufanani na wa kampuni yo yote ile iliyokwisha ingia hapa nchini, ambapo unaweza kupata mafao kutokana na biashara yako ya Trevo kwa njia 8 tofauti.

 

Namna Ya Kujiunga Na TREVO

 

Kujiunga na TREVo ni rahisi sana na ni kazi ya saa chache tu. Vitu muhimu wakati wa kujiunga ni:

1. Pay-In Slip Ya Stanbic Bank Au CRDB Bank
2. Nambari Ya Akaunti Yako Ya Benki
3. Jina Na Customer ID Ya Mtu Aliyekushauri Kuingia TREVO

Ukishachagua mtaji wako wa kuanzia, utakwenda tawi lolote la Stanbic Bank au CRDB Bank na kulipia bidhaa zako kwenye akaunti ya “TREVO Tanzania Ltd”. Utachukua pay-in slip hiyo hadi kwenye ofisi za TREVO na kuikabidhi ukiambatanisha na fomu ya usajili. Fomu utaipata ofisini (unaweza kupata kutoka kwangu) na utaijaza. Vitu muhimu katika kujaza fomu hii ni namba ya akaunti yako ya benki (kwa ajili ya malipo yako) na namba ya msajili wako (Customer ID). Msomaji wangu hapa utatumia nambari yangu ambayo ni CID 4576974.

Ukishavikamilisha vitu hivyo hapo juu, utaviwasilisha kwa maafisa wa TREVO nao watakupa bidhaa zako na vitu vingine vyote vya kuanzia kazi ikiwa ni pamoja na tovuti yako binafsi ya kufanyia kazi zako.

Hadi muda huu ninavyoandika ukurasa huu, ofisi yetu ina mpango wa kufungua matawi katika miji ya Arusha , Mbeya, Dodoma, Iringa na Mwanza. Endapo wewe haupo Dar Es Salaam bado unaweza kujiunga kwa kutumia utaratibu wa kumwomba ndugu au mtu unayemwamini hapa Dar ambaye atafanya malipo kwa niaba yako kwenye benki ya Stanbic na kupeleka details zako kwenye ofisi za Trevo. Atakabidhiwa bidhaa ambazo atakutumia. Kwa miji ya Arusha, Mbeya, Dodoma, Iringa na Mwanza, bidhaa hizo utazichukua mwenyewe kutoka kwenye maghala ya kampuni yaliyoko kwenye miji hiyo baada ya kuonyesha namba ya risiti ya kutoka kwenye kampuni .

Unaweza vilevile ukafanya malipo ya bidhaa zako kwenye tawi lolote la benki la Stanbic au CRDB huko uliko kisha ukawasilisha taarifa za Pay-In Slip yako kwa Whatsapp au barua pepe kwenye ofisi zetu.

Endapo sijaeleweka mahali po pote, usisite kuniuliza, wakati wo wote.

Kuwasiliana nami   0655 858027 au 0756 181651

JIUNGE NA TREVO SASA!

Bonyeza juu ya maneno BONYEZA HAPA kisha jaza fomu utakayoiona. Subiri maelekezo kwa simu, usikate tamaa endapo hutajibiwa mara moja.

 

 

Training/Mafunzo

 

Unakaribishwa kuhudhuria mafunzo yanayotolewa bure kuhusu uendeshaji wa biashara hii katika ofisi zetu zilizopo katika eneo la Regent Estate – Dar es salaam. Mafunzo haya hutolewa siku za:

 

Jumanane          saa 5-7            saa 10-11.30
Jumatano           saa 5-7
Alhamisi              saa 5-7            saa 10-11.30
Jumamosi           saa 5-7            saa 9-12

 

Ukitaka kuhudhuria mafunzo haya nitaarifu nikuongoze zaidi.

 

Kuwasiliana Nami

 

Unaweza kuwasiliana nami kwa njia nyingi mno. Nambari zangu za simu ni 0655 858027 na 0756 181651. Unaweza kupitia ukurasa wangu wa LINDA AFYA YAKO ndani ya Facebook au kupitia ukurasa wo wote ule wa tovuti yangu ya masuala ya afya kwa kubonyeza:

http://www.sagalawebs.com/afya

Unaweza kuniandikia barua pepe kwa moja ya anuani zifuatazo:

promota927@gmail.com
mpinasp13@gmail.com
laurian_raphael@yahoo.com
support@sagalawebs.com

Karibu uungane nami tuboreshe maisha yetu kwa pamoja.

Laurian    0655 858027 au 0756 181651.

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3