Karibu Sana Green World

 

 

Kwa Pamoja  Tunakukaribisha Sana Green World

Umefikia hatua ya mwisho ya kuwa mwanachama wa Green World. Unachotakiwa kufanya sasa ni kufika ofisini na kupewa undani wa biashara hii unayopenda kuifanya.laurian mwajombe

Unaweza kufika siku yo yote kati ya jumatatu na jumamosi – saa 3 hadi saa 7 kwa taarifa muhimu za biashara na endapo utaona kuwa uianze mara moja, utalipia Tshs 35,000/= kama kiingilio na kujipangia mwenyewe mtaji wa kuanza nao.

Ukifika onana na ndugu Laurian Mwajombe. Mimi ndiye nitakayekusimamia kwenye hatua zako za awali hadi utakapokuwa umeanza kujiendesha mwenyewe kibiashara.

Ofisi zetu zipo Karume, ndani ya jengo la Machinga Complex, jijini Dar Es Salaam. Tupo Floor ya 4, karibu sana na ofisi ya DRFA – Chama Cha Soka Cha Mkoa wa Dar es Salaam.

Kama upo nje ya Dar Es Salaam, bado hujashindwa kuwa mwanachama. Utawasiliana nasi na kulingana na mahali ulipo, tutakupa taratibu za kukuwezesha kujiunga na kuwa mwanachama wa Green World.

Tumia namba zifuatazo kwa mawasiliano:

0655 858027
0756 181651

Nakushuru sana kwa kusoma hadi hapa chini, hii ni ishara ya kuwa na uchu wa mafanikio ya kimaisha.

Laurian Mwajombe
Green World 6*C 

 

 

Kama hukujaza fomu yetu na unapenda kujiunga na Green World, anza kwa kusoma ukurasa wa kabla hujajiunga na Green World.

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3