JAMU/HERBS SENDI FOR MUSCLE, JOINT PAINS, FATIGUE AND WEAKNESS

 

Je, Unasumbuliwa Na Maumivu Ya Mifupa?

 

Matatizo ya maumivu ya mifupa na misuli husumbua watu wengi wa jinsia zote hasa watu wazima wenye uzito mkubwa. Moja ya dawa ambazo zimeagizwa na kuleta mafanikio makubwa ni dawa ya bei nafuu kabisa inayotengenezwa nchi za mashariki ya mbali. Dawa hii huondoa maumivu ya mifupa, maungio ya mifupa na misuli. Dawa hii pia huondoa uchovu, udhaifu wa mwili na kukufanya uwe na nguvu.

 

pills for joint pain relief

 

 

Viungo Vya Dawa ( Ingredients )

– Zingiberis Rhizoma Extract
– Myristicae Semen
– Languatis Rhizoma Extract
– Saussureae Lappae Radix
– Zingiberis Rhizoma
– Curcumae Domesticae Rhizoma Extract
– Curcumae Aeruginosae Rhizoma
– Retrofracti Fructus

Matumizi

 

Dawa hupatikana ndani ya pakti yenye vidonge 100. Mtumiaji hushauriwa kunywa vidonge 5 mara baada ya kupata chakula na anatakiwa kunywa mara 3 kwa siku. Watu wengi wametumia pakti 2 za dawa hii na matatizo yao yakaisha kabisa.

 

Dawa Ya Maumivu Ya Mifupa

 

 

Kwa maelezo zaidi, tuma ujumbe kupitia ukurasa  huu hapa chini kwa kujaza fomu, au tutumie barua pepe kupitia mwajombelau14@gmail.com au tupigie simu kwa namba zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3