SEXUAL ENERGY And VITALITY FOR HOT MEN

 

Dawa Ya Afya Na Nguvu Ya Sehemu Za Siri Za Mwanamme

 

Box 1 vidonge 20 @650 mg

Jamu Kuku Bima ni mchanganyiko uliotengenezwa kuondoa karibu matatizo yote yanayoambatana na mambo ya mapenzi kwa mwanamme. Ni dawa asilia yenye historia ya kuongeza hamu ya kufanya tendo la mapenzi, kuongeza nguvu ( improves the energy for erection ) na kuzuia kufika kileleni upesi. Ni dawa ya kulinda afya na nguvu ya  sehemu za siri za mwanamme rijali.

 

sexual energy and vitality for hot men
Dawa hii hutengenezwa kutokana na mnyama aitwaye seahorse, mnyama pekee duniani ambaye watoto wao huzaliwa na dume. Jike hutoa mayai ambayo hupandikizwa kwa dume, ambaye huyarutubisha na huyalea hadi mtoto atakapozaliwa.

Tofauti iliyopo kati ya kutumia dawa za kuongeza nguvu zilizotengenezwa kwenye maabara na zile za asili ni kwamba ukitumia zile za maabara mwili hutumia nguvu zake wenyewe kufanikisha tendo wakati dawa za asili hutoa nguvu inayohitajika kwa tendo hilo hivyo kuulinda mwili usidhoofu kwa kupoteza nguvu zake. Matumizi ya nguvu za mwili ya kupitiliza huleta madhara kwa mwili na hasa kwa figo.

Matumizi ya dawa za kuongeza nguvu siyo ya lazima! Unashauriwa kutumia dawa hizi endapo wewe umeumbwa na hulka ya kupenda mapenzi zaidi ya kiwango cha kawaida au kama mwili wako una viwango vya chini vya homoni ya testosterone. Mtu mwenye kiwango cha chini cha testosterone atapata mawazo ya kufanya mapenzi mara chache sana na hatajihusisha na mambo ya mapenzi. Lakini watu wa kundi hili huwa wenye mifadhaiko, hushindwa kutuliza mawazo yao wafanyapo shughuli zao za kawaida na hujisikia uchovu kila wakati. Ushauri mzuri kwa watu wa kundi hili ni kutumia dawa hizi ili kuboresha afya zao za kimapenzi na hatimaye kiakili.

 

Faida Za Kutumia Jamu Kuku Bima

Huondoa matatizo ya afya ya mapenzi yakiwemo ya  kuwahi kufika kileleni na jogoo kushindwa kuwika
Huboresha nguvu za kufanya mapenzi
Huongeza stamina na kinga ya mwili
Huongeza ubora wa manii
Huponyesha maumivu ya mgongo na uchovu

 

Viungo Vya Dawa Hii ( Ingredientes Of Jamu Kuku Bima )

– Hippocampus powder 5%
– Panax Ginseng 25%
– Eurycomae Radix 15%
– Kaempferiae Rhizoma 7%
– Zingiberis Rhizoma 10% 1 Box of 20 Capsules @650 mg
– Phyllanthi Herba 4%
– Zingiberis Aromaticae Rhizoma 7%
– Na viungo vingine.

 

Tahadhari

Dawa hii haifai kutumiwa na watu wenye peptic ulcers, wenye matatizo ya figo au matatizo ya ini. Watu wenye matatizo makubwa ya high blood pressure wanatakiwa kumwona daktari kabla ya kutumia dawa hii.

Matumizi

Mwili dhaifu: vidonge 2 usiku kabla ya kulala kwa wiki2-3, kisha vidonge 2 kila baada ya siku 2-3.
Uchovu/Maumivu ya mgongo: vidonge 2 kabla ya kulala.
Kuboresha mwili: vidonge 2 kila baada ya siku 2-3.

 

Kwa maelezo zaidi na ya kina, tuma ujumbe kupitia ukurasa huu hapa chini kwa kujaza fomu, au tutumie barua pepe kupitia promota927@gmail.com au tupigie simu kwa namba zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Namba Yako Ya Simu

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni Yako

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3