Kampuni Ya Kirutubisho Cha Trevo

 

 

video ya trevo

 

Anza Biashara Kwa Mtaji Mdogo Kabisa 

 

Kuna makampuni mengi sana hapa Tanzania yanayoruhusu wananchi kuuza products zao ili waweze kujipatia kipato. Makampuni mengine yamekuwepo hapa kwa miaka mingi sana. Wale ambao wamekuwa wapenzi wa biashara hizi wanayafahamu majina kama GNLD, Green World, Forever Living na mengineyo. Wapo walionufaika na shughuli hizi na wapo ambao hawakuridhika na biashara za makampuni hayo. Katika ukurasa huu, nitazungumzia kampuni mpya, iliyokuja na mfumo mpya kabisa, kampuni ya kirutubisho Cha Trevo – TREVO LLC , Tanzania.  Ni kampuni itakayokuwezesha kuanza biashara kwa mtaji mdogo kabisa, ukaanza kuuza bidhaa zao na kupata faida mara moja kutegemeana na juhudi zako.

 

Kampuni Ya TREVO Tanzania

Mategemeo yangu ni kwamba jina hili ni geni kabisa masikioni mwako kwa sababu ni kampuni iliyozinduliwa hivi karibuni sana – tarehe 11 Novemba 2014, katika ukumbi wa Golden Jubilee, jijini Dar Es Salaam. Ni kampuni inayomilikiwa na Mark Stevens na mkewe Holli Stevens, wanandoa wenye uzoefu wa miaka 16 wa kumiliki kampuni za kwenye mtandao. Kampuni hii ina makao yake makuu katika jimbo la Oklahoma, nchini Marekani.

 

Ili kujua namna kirutubisho hiki kilivyotengenezwa, kinavyofanya kazi katika mwili wa binadamu, faida za kutumia kirutubisho hiki na jinsi ya kukipata ukiwa hapa kwetu Tanzania, soma ukurasa huo kwa kubonyeza juu ya maandishi yaliyo kwenye mstari huu hapa chini:

 

http://topantiagingproducts.sagalawebs.com/kirutubisho-cha-trevo/

 

Hivi ndivyo wanavyosema kwa kifupi wamiliki wa kampuni hii:

“OUR GOAL, as individuals and as a company, is to empower you to achieve your dreams as you live a healthy and prosperous life, and to 

daktari wa Trevohelp you make a difference in the lives of others through a lucrative business opportunity powered by a unique product and charitable initiatives. While the word “prosperity” evokes a variety of different definitions depending upon to whom you are speaking, the Trévo team considers prosperity to be a wholeness word that embodies completeness. Such completeness includes a balanced life of spiritual, emotional, physical and financial prosperity.”

 

Kwa kifupi lengo la kampuni hii ni kukuwezesha wewe mpenzi wa biashara za mtandao kufikia ndoto zako za kuondokana na umaskini ukiwa unaishi maisha yenye furaha na kuleta mabadiliko katika maisha ya wenzako kwa kukuletea fursa hii ya biashara yenye mpango bora wa ulipaji.

Nani Anaruhusiwa  Kujiunga Na TREVO?

TREVO inamruhusu mtu yeyote anayependa kuifanya biashara hii ya mtandao kujiunga bila kujali kiwango cha elimu au kipato chake. TREVO inajali tu nia thabiti ya mtu aliyonayo ya kutaka kufanya biashara na inampa mtu fursa ya kuchagua kiwango cha mtaji anachopenda kuanza nacho na kumpa msaada wa mafunzo ya jinsi ya kufanya biashara hii ya mtandao . Hakuna gharama za kiingilo kama kampuni nyingine, TREVO NI BURE!

Mpango Wa Ulipaji Wa TREVO

Kampuni ya TREVO Tanzania inakuwezesha kupata malipo kutokana na njia kuu 8 na kipato chako kitaongezeka kulingana na idadi ya chupa ulizoanza nazo, mauzo yako kwa mwezi, idadi ya wanachama walio chini yako (wanachama uliowaingiza kwenye kampuni na walioingizwa na wale uliowaingiza n.k.) na mauzo ya wanachama walio chini yako.

TREVO Tanzania inalipa bonus ya papo kwa hapo pale unapomwingiza mwanachama mpya. Kwa mfano, kama wewe ni mwanachama uliyeanza na chupa 3 kwa Tshs 389,200/  na ukamwingiza mwanachama mwingine chini yako wa chupa 3 kama wewe, unapata bonus ya papo kwa hapo ya 100,800/.

Trevo inakupa malipo kwa kila chupa ya ziada unayonunua wewe na walio chini yako kwa kiwango cha asilimia 20 ya bonus yako. Trevo inafanya hivyo kwa kila mwanachama aliye chini yako hadi ngazi 8.

Hapa nadokeza kidogo tu faida za mpango wa ulipaji wa kampuni hii ya TREVO Tanzania. Kwa maelezo ya kina nipigie simu, niandikie SMS au barua pepe kwa anuani hizo hapo chini.

 

Mpango Wa Ulipaji Wa Kampuni Ya Trevo

 

Tofauti Ya Kampuni Ya Trevo Na Nyinginezo

 

1. Trevo ina viwango tofauti vya kuanzia kufanya biashara, ambapo unaweza kuchagua kiwango unachoona kinakufaa. Viwango hivi vimetajwa kama PS1 … hadi PS6. PS1 ni kiwango unachoweza kuanzia kwa mtaji wa Tshs 187,050/ na PS6 ni  kiwango cha kuanza biashara kwa mtaji wa Tshs 3,403,150/.

2. Unaweza kujiunga na Trevo na kuamua kuuza biashara yako kwa reja reja na ukapata faida za kati ya asilimia 20 hadi 40. Fikiria kununua product kwa Tshs. 100,400/= na kuuza kwa Tshs. 195,000/, hicho kikiwa ndio kiwango cha chini.

3. Kwa ujumla kuna njia tofauti 8 za kupata fedha kutokana na kufanya biashara ya kirutubisho cha Trevo.

4. Kampuni inatoa tovuti  binafsi ya bure kwa kila mwanachama aliyejiunga ili aweze kuitumia katika kuendesha biashara yake.

5. Mafunzo kuhusu uendeshaji wa biashara hii hutolewa kila siku na ni bure!

6. Kampuni ina bidhaa moja tu inayojiuza yenyewe kwa sababu mtu akiitumia tu inatoa mafanikio ya ajabu kabisa hivyo lazima atawaambia wenzake wenye matatizo kama yake ili nao waitumie. Ukifanya biashara na kampuni hii unauza mali yako yote na kubakia na faida yako mkononi bila kuwa na mrundikano wa bidhaa ambazo hazijauzwa ndani ya nyumba yako. Soma maelezo ya bidhaa hiyo hapa:

http://topantiagingproducts.sagalawebs.com/kirutubisho-cha-trevo/

 

kujiunga trevo

 

 

7. Na kuna mengine mengi ambayo siwezi kuyaeleza katika ukurasa mmoja. Pata maelezo zaidi kwa kuvinjari tovuti yao kupitia:

http://trevocorporate.com/

 

Namna Ya Kujiunga Na Trevo

Ni rahisi mno kujiunga na Trevo na ukaanza kutengeneza pesa siku hiyo hiyo, sio utani. Kinachotakiwa ni bidii yako, ingawa uzoefu unasaidia zaidi.

Soma ukurasa wa “KARIBU TREVO TANZANIA” ili upate maelezo zaidi ya jinsi ya kujiunga na kampuni hii na ratiba ya mafunzo kwa wanachama na wale ambao wanapenda kuwa wanachama.

Tumia njia yo yote iliyo rahisi kwako kati ya hizi nilizoziorodhesha hapa chini kuwasiliana nami. Naahidi kukujibu mara moja na kukupa mwongozo wa jinsi ya kujiunga na kuanza kunufaika na biashara ya kampuni hii BURE kabisa.

Unataka Kujiunga na TREVO leo? 

Click (Bonyeza) juu ya maneno “BONYEZA HAPA” kwenye picha hii hapa chini kisha subiri kidogo. Jaza fomu itakayotokea kisha soma maelezo utakayopewa. Baada ya muda mfupi tutawasiliana na wewe kukueleza utaratibu wa kufuata. Tunaomba uwe na subira, hata kama hatujawasiliana na wewe leo, lazima tutakufikia tu!

 

Trevo – Mkombozi Wa Biashara Za Mtandao!

 

Kwa mawasiliano tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu kwa kujaza fomu hapa chini , au tuma barua pepe kwa anuani promota927@gmail.com au piga simu kwenye nambari zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3