Dawa Ya Kujenga Cartilage – Glucosamine

 

 

Unapata Maumivu Makali ya Mifupa?

Kuna tatizo ambalo huwapata watu wengi ambapo husikia maumivu makali kwenye maungio ya mifupa hasa kwenye magoti na ankles. Hili huwatokea hasa wale ambao umri wao unakuwa umesogea. Kimaumbile, sehemu ambayo mifupa kutoka sehemu mbili inakutana, kuna namna ya utando unaotanda na kuzunguka eneo hilo ili mifupa kutoka hizo pande mbili isikutane moja kwa moja. Utando huu huitwa cartilage. Pamoja na utando huu kuna ute (synovial fluid) unaosaidia kulainisha sehemu hizo. Umri ukisogea, cartilage hii na/au ute huu huweza kwisha na mifupa ikaanza kugusana, hapo ndipo maumivu makali sana hutokea (osteoarthritis).

glucosamine - dawa ya mifupa

Dawa za kawaida hazina uwezo wa kurudisha cartilage au ute huu. Mgonjwa hupewa dawa kupambana na maumivu yanayotokea lakini si kurudisha cartilage.

 Glucosamine Ni Nini?

Glucosamine ni kemikali ambayo hupatikana mwilini na kazi yake ni kusaidia kuhamasisha ujenzi na ukarabati wa cartilage ambayo imezeeka. Dawa tunayoielezea hapa, hurudisha glucosamine mwilini ili mwili uweze kujenga cartilage na kurudisha synovial fluid (ute) kwa mtu mwenye matatizo hayo.

 

dawa ya glucosamine

 

Dawa tunayoielezea hapa imefanyiwa utafiti nchini Ureno kwa watu waliosumbuliwa na osteoarthritis (maumivu yanayotokana na kwisha kwa cartilage) na kuonyesha mafanikio kwa asilimia 95% ya wagonjwa. Ni dawa ambayo kwa miaka 20 sasa imekuwa ikitumika na kuonyesaha mafanikio makubwa.

Namna Ya Kutumia Glucosamine

Mgonjwa hutumia kidonge 1 mara tatu kwa siku.

 

Kwa maelezo zaidi na ya kina, tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu hapa chini kwa kujaza fomu, au tutumie barua pepe kupitia mwajombelau14@gmail.com au tupigie simu kwa namba zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3