Uza Dawa Pata Fedha

 

uza dawa pata fedha

Je Utapenda Kuuza Dawa Upate Fedha?

 

Sehemu hii ya tovuti yetu inayaelezea makampuni ambayo huuza dawa au virutubisho ambayo yanapenda kuwajumuisha wananchi wengine wanaopenda kufanya biashara za mtandao ili wajipatie fedha za kujikimu. Hapa kuna makampuni ya aina mbili, yaani yale ambayo hufanya shughuli zao kwa mtandao wa interneti (Internet Marketing ) na yale ambayo hutumia njia ya mdomo (Word Of Mouth). Kila mmoja wetu hapa ana uwezo wake, hivyo kila mtu anapaswa achague kitu anachokiweza.

Biashara Za Mtandao Ni Za Kweli? 

 

Napenda awali ya yote nieleze kwamba biashara hizi ni za kweli na fanya biashsra ya mtandaozinaweza kuchukua nafasi ya ajira. Wapo watu wengi hapa nchini wamejiunga na makampuni haya na wengine wakaacha ajira zao za awali baada ya kuona kipato cha biashara hizi ni kikubwa zaidi.

Si hapa kwetu Tanzania tu, watu wa mataifa mengi na hata Marekani biashara hii sasa inajipatia umaarufu mkubwa. Unaweza kutazama mkanda huu hapa chini unamwonyesha aliyekuwa rais wa Marekani, Bill Clinton, akiwashauri wananchi wake kushiriki katika biashara hizi ili kuinua vipato vyao:

 

Rais Bill Clinton Akizungumzia Biashara Ya Mtandao

Rais Bill Clinton Akizungumzia Biashara Ya Mtandao

 

 

Lakini napenda kuonya kwamba siyo kila mtu anaweza kufanikiwa kwa kufanya biashara hizi. Usjiunge eti tu kwa sababu huna ajira au kwa sababu fulani umemwona anapata kipato kikubwa kutokana na biashara ya mtandao. Mimi nimefanya biashara za mtandao kwa muda mrefu, nimeona watu wengi sana, tena sana, wakishindwa na mwisho wa siku kulaumu kuwa biashara za mtandao ni za uongo.

 

Nini Kinatakiwa Kufanywa Kwenye Biashara Za Mtandao? 

 

Kuna vitu vya kuangalia kabla ya kufanya maamuzi. Vikubwa kabisa ni UWEZO wako wa biashara hizi na MAPENZI ya vitu utakavyouza. Waweza kuwa huna uwezo sasa hivi, siyo vibaya sana kwani makampuni mengi hutoa mafunzo, tena ya kina. Lakini jee, utazingatia mafunzo hayo na kujituma inavyostahili? Kazi hizi kwa namana fulani zinahitaji watu wa namna fulani – watu wanaopenda kufanya kazi bila kuongozwa au kusukumwa kwani muda mwingi utatoa maamuzi mwenyewe. Mapenzi ya kazi hizi ni muhimu vilevile kwani kunako mapenzi kuna msukumo. Unapouza kitu unachokipenda utakuwa na msukumo na maelezo kwa mteja yatatoka yenyewe bila kujilazimisha. Kwa wale wanaokijua kiingereza, mada hii nimeichambua kwa kina, waweza kuisoma kutoka “Secrets To Success In Internet Marketing.”

 

Ni Zipi  Kampuni Za Mtandao Bora Tanzania? 

 

Ubora wa kampuni ya mtandao kwako wewe utategemea uwezo wako wa kuyafikia maeneo yenye wateja wa product unazouza. Kwa mfano, kirutubisho cha TREVO ni kwa ajili ya watu wenye matatizo ya upungufu wa kinga mwilini, wenye kisukari, wenye vidonda vya tumbo n.k. na  kinauzwa Tshs 165,000/. Kwa vyo vyote vile wateja wa product hii ni watu wenye uwezo wa kutoa kiasi hicho cha pesa ili wakinunue. Unajua walipo watu wenye matatizo hayo, wenye uwezo wa kutoa kiasi hicho cha pesa na unaweza kuwafikia? Kama jibu ni ndiyo, product hii itakufaa kibiashara, vinginevyo tafuta product nyingine. Ukitaka kuijua kampuni ya Trevo Tanzania kwa undani zaidi soma “Kampuni Ya Kirutubisho Cha Trevo“.

Kampuni ya Green World Tanzania inauza madawa ya bei nafuu na idadi kubwa sana ya madawa katika orodha yake. Madawa hayo ni kwa ajili ya watoto, dawa kwa ajili ya matatizo ya akina mama, dawa kwa matatizo ya akina baba na dawa ambazo ni kwa ajili ya mtu ye yote. Katika orodha yao kuna dawa kwa ajili ya kutibu malaria, magonjwa mbalimbali ya watoto wadogo, afya ya viungo vya uzazi, afya ya akina mama wazazi, dawa kwa ajili ya mifupa, dawa za matatizo ya moyo, dawa za kutibu kansa, dawa za kinga ya mwili, kisukari, vidonda vya tumbo, fibroids, msongo wa mawazo, n.k. Kwa ujumla dawa za kampuni hii zinamgusa kila mtu na hata mtu wa kawaida anaweza kumudu kuzinunua. Kwa hiyo biashara ya kuuza dawa za kampuni ya Green world ni bora kwa madaktari, manesi, walimu na vile vile inaweza kufanywa na mtu yeyote, popote pale alipo. Ili kuona ni jinsi gani watanzania wachache waliothubutu kufanya biashara na kampuni hii walivyonufaika, soma ukurasa za “Kampuni Ya Kuuza Dawa Ya Green World” na “Ubora Wa Kampuni Ya Green World Tanzania“.

Nakushauri vilevile usome ukurasa wa “Namna Ya Kuchagua Kampuni Ya Mtandao” uweze kuvielewa vigezo vya kuvitumia wakati wa kuchagua kampuni ya mtandao ya kufanya nayo biashara.
Tafadhali ungana nasi kwenye ukurasa wa facebook wa LINDA AFYA YAKO ili upate mfululizo wa mada zetu zinazohusu afya ya binadamu na jinsi ya kuanza na kufanya biashara za mtandao zinazohusu virutubisho vya mwili kwa mtaji mdogo kabisa. Tunaomba uweke LIKE kwenye ukurasa huo endapo utakuwa umependezewa na mada zetu.

Kama unaona shughuli hizi unaziweza, usisite kuwasiliana nami kwa maelezo zaidi na ushauri ambao ni wa bure kabisa. Jaza fomu hii hapa chini na maelezo kidogo kuhusu nia yako.

Kwa maelezo zaidi na ya kina, tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu hapa chini kwa kujaza fomu, au tutumie barua pepe kupitia promota927@gmail.com au tupigie simu kwa namba zifuatazo: 0655 858027 au  0756 181651.

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni

 

 

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3