Kirutubisho Cha Trevo

 

Kirutubisho cha mwili Kipya cha Trevo

 

TREVO – Maisha Yako Ndani Ya Chupa Moja!

 

Tuliishaona nini maana ya Kirutubisho cha mwili, umuhimu wa virutubisho vya mwili na kwa nini miili yetu inahitaji virutubisho vya viini vya trevomwili vya kiada. Trevo ni zao lililotokana na utafiti wa muda mrefu na kukusanya virutubisho 174 vya asili ndani ya chupa moja. Virutubisho hivyo vimetoka kona zote nne za dunia vikijumuisha vitamini muhimu kwa mwili, madini, amino acids, mafuta muhimu kwa mwili, antioxidants na enzyme kwa kusaidia kuyeyusha chakula. Virutubisho hivi vimetokana na matunda ya kwenye bustani, matunda ya mwituni, mboga mbalimbali, mboga za baharini, majani na miamba ya kando kando ya bahari – Vyote hivi ndani ya chupa moja!

Trevo ni kirutubisho cha mwili cha  kiada cha kipekee ambacho hakijapata kingine cha kulingana nacho hadi sasa. Ni mchanganyiko uliobuniwa na kufanikiwa kwa kiwango cha juu kurudisha, kukarabati na kuamsha afya ya mtu iliyodorora. Mchanganyiko huu hufanya kazi kwa kuupa mwili virutubisho vyote ambavyo umekosa kutokana na kula chakula cha kisasa kinachokosa virutubisho muhimu. Ni mchanganyiko unaofanya kazi vizuri kwa mtu wa umri wo wote kuanzia mtoto wa miaka 2 hadi mtu mzima kwa muda mfupi.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu kirutubisho hiki na kampuni inayotengeneza na kuuza kirutubisho hiki kwa kusoma kutoka kwenye tovuti yao kwa kubofya hapa:

http://trevocorporate.com/?page_id=4126

kirutubisho cha Trevo

 

Faida Za Kutumia Kirutubisho Cha Trevo

 

Kirutubisho cha Trevo kinaziba mapengo yote ya virutubisho muhimu vya  mwili yaliyoachwa wazi na chakula cha kisasa kinachokosa virutubisho muhimu. Kama afya yako imekuwa mbovu na mwili wako umedhoofika kwa ukosefu wa virutubisho muhimu na magonjwa, Trevo itakupa nguvu katika muda mfupi sana na kuondoa maradhi yanayokusumbua. Watu wengi wametoa ushuhuda wao kuhusu Trevo katika mambo yafuatayo:

 1. Kuupa nguvu mwili ulioodhoofika kwa maradhi
 2. Afya ya akili
 3. Afya ya macho
 4. Kinga ya mwili
 5. Kiweka kiwango kizuri cha sukari na cholesterol mwilini
 6. Mfumo wa kuyeyusha chakula (vidonda vya tumbo)
 7. Kupunguza kuzeeka haraka
 8. Unene au Uzito wa mwili
 9. Afya ya mfumo wa moyo
 10. Kuupa mwili nguvu baada ya michezo Kuondoa sumu mwilini
 11. Kuondoa sumu mwilini
 12. Kiweka viwango vizuri vya pH
 13. Kuboresha milo yetu yenye mapungufu ya viini-lishe
 14. Kukufanya ujisikie mwenye afya bora

 

 

Hivi ndivyo walivyooleza waasisi wa kampuni hii kuhusu faida za TREVO:

Trevo Supports:

 •  Vibrant good health
 •  Increased energy
 •  Enhanced mental focus
 •  Weight management
 •  Cardiovascular system health
 •  Immune system health
 •  Healthy cholesterol and blood sugar levels
 •  Digestive system health
 •  Anti-aging
 •  Proper pH levels
 •  Sports and overexertion recovery
 •  A wonderful sense of well-being

Tazama video fupi kuhusu kirutubisho hicho:

video ya kinywaji cha trevo

Upatikanaji  Na Matumizi Ya Trevo

 

Kirutubisho hiki kinapatikana katika ujazo wa oz 32, kiasi ambacho mtu mzima anayependa kuboresha afya yake anaweza kuitumia chupa moja kwa siku 15, na mtu ambaye ana matatizo fulani ya kiafya ataitumia kwa siku 10. Pia kuna chupa ndogo ya oz 2 kwa ajili ya matumizi yako uwapo kwenye shughuli maalumu mbali na nyumbani.

Agiza chupa yako ya TREVO uipate kwa bei ya kampuni ya TZS 195,000/= kwa kujaza fomu hii hapa chini. Hakikisha unaandika namba yako ya simu kwa mawasiliano ya haraka.

 

Email:
First Name:
Last Name:
Namba Ya Simu


 

Kwa muda mfupi sana, wagonjwa wanaosumbuliwa na VVU, wenye kisukari, wenye kupooza, vidonda vya tumbo, wanamichezo na wenye matatizo mengine mengi wamegundua nguvu ya kirutubisho hiki na wanakiagiza kwa wingi sana.  Hujachelewa, agiza upate mkombozi wa afya yako!

Ukurasa huu ni mahsusi kwa kuelezea kirutubisho cha Trevo, lakini kwa wale wanaotafuta fursa za biashara, habari ni nzuri sana kwao kwani kampuni hii inashirikisha mtu ye yote mwenye nia kufanya biashara na kampuni hii. Kama umependa kuijiunga na kampuni ya TREVO, pata maelekezo ya jinsi ya kujiunga kwa kubonyeza juu ya maandishi haya hapa chini:

http://topantiagingproducts.sagalawebs.com/karibu-trevo-tanzania/

 

 Ni TREVO – Maisha Yako Ndani Ya Chupa Moja!

 

Kwa mawasiliano na maelezo zaidi tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu kwa kujaza fomu hapa chini , au tuma barua pepe kwa anuani promota927@gmail.com au piga simu kwenye nambari zifuatazo: +255 655 858027 au +255 756 181651.

 Hakikisha Unaandika Namba Yako Ya Simu!!

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii

404 Not Found

404 Not Found


nginx/1.10.3