Uchi Kulegea

 

tatizo la uchi mpana

 

Jee, wewe ni mmojawapo wa wale wanawake wanaohisi kuwa na tatizo la uchi kulegea? Haupo peke yako, wanawake wengi wanatatizwa na jambo hili, wanaweza kuwa wameambiwa jambo hili na wapenzi wao au wao wenyewe walijaribu kujipima kwa kujiingiza vidole kwenye sehemu hizo za siri. Katika makala hii natumia neno uchi, ambalo si neno sahihi sana, nikimaanisha sehemu ya nyeti za mwanamke ambayo hutumika wakati wa kufanya mapenzi, kupitisha damu chafu wakati wa siku za hedhi na kupitisha mtoto wakati anapozaliwa. Neno sahihi ni Kuma. Nalitumia neno hilo kukudhi haja ya wengi waliolizoea. Maneno mengine ambayo yamezoeleka kueleza tatizo hilo ni uchi mpana, uchi mkubwa na mengineyo.

Dalili Za Uchi Kulegea

Kabla ya yote tutazame uchi huu ulivyoumbwa. Uchi ni kama uchi kulegeakijimfuko kirefu kilichozungukwa na misuli ambacho kwa ndani kimezungukwa na utando laini unaovutika wenye unyevunyevu unaosaidia kupunguza msuguano na wenye uwezo wa kuleta hisia za mapenzi. Kabla mwanamke hajawa tayari kwa mapenzi, kijimfuko hiki huwa kidogo chenye urefu wa inchi 2.75 hadi inchi 3.25 na upana wa robo tatu ya inchi kule ndani kinapoishia. Baada ya kuwa tayari kufanya mapenzi, kijimfuko hiki hunyumbuka hadi kufikia urefu wa inchi 5.25 na kutanuka hadi kufikia upana wa inchi 2.5 ndani kinakoishia.

Takwimu za urefu wa uchi hazina maana sana kwetu kwa somo la leo – ni upana ndio tunaotaka kuuzungumzia. Upana huu unaweza kuongezeka kwa kulegea misuli inayouzunguka uchi au kwa kuumbwa na misuli yenye unene mdogo.

Ifahamike kuwa ni kitu cha kawaida misuli hii kulegea umri wa mwanamke unapozidi miaka 60. Sasa kama ni kweli uchi wako umelegea, utaweza kujigundua kwa kuona dalili zifuatazo:

  •          Kufanya tendo la ndoa hakutakupa starehe sana
  •          Kufanya tendo la ndoa hakutampa starehe sana mpenzi wako
  •         Kama utahisi kwamba hewa inaingia na kutoka kwenye uchi              wako (fanny farting)
  •         Ukiona mkojo unavuja hasa unapocheka, kupiga chafya au                  kukohoa.

 

 Sababu Za Uchi Kulegea

Kama wewe ni msichana au mwanamke ambaye hujawahi kuzaa hata mara moja, suala la wewe kuwa na uchi mpana ni la kufikirika, uwezekano ni mdogo mno au ni finyu. Kuna dhana iliyoenea kwamba mwanamke anayeshiriki ngono sana atakuwa na uchi uliolegea – Huu ni Upuuzi kabisa! Mwanamke hata akifanya ngono kiasi gani, uchi hauwezi kuwa mpana eti kwa sababu hiyo.

Sababu kubwa ya kuwa na uchi uliolegea kwa mwanamke ni tendo la Uzazi. Mwanamke anapozaa misuli inayozunguka uchi na vitu vyote vinavyoshikilia kuta za uchi huo huathirika na kupungua nguvu kwa kiasi fulani. Hivyo basi, kila unapozaa, ndivyo unavyoiathiri misuli yako zaidi. Mwanamke mwenye watoto wengi sana, uchi wake utakuwa umeathirika zaidi. Namna ulivyozaa pia inaweza kuchangia, kwa mfano kuzaa kwa matatizo (Plonged labours).

 Tiba ya tatizo La Uchi Kulegea

Njia iliyo bora kabisa ni kuwa makini kwa kufanya mazoezi unayopewa au kufundishwa na wakunga (manesi) mara tu baada ya kuzaa. Lakini endapo mambo yameshaharibika, basi yafuatayo yaweza kufanyika;

1. Kufanya mazoezi yaitwayo Pelvic Floor Muscle Exercises. Haya ni mazoezi ambayo manesi au wakunga wanaweza pia kukufundisha.

2. Kufanya mazoezi ya Kegel. Mazoezi haya huipa nguvu misuli (Pelvic Floor Muscles) iliyovutika wakati wa uzazi. Hukufanya usikie raha zaidi ufanyapo tendo la ndoa (more intense orgasms) na huimarisha mfuko wa mkojo ili usivuje. Mazoezi haya hayapunguzi ukubwa wa uchi bali hupunguza kipenyo cha uchi sehemu ya kuingilia.

 

tiba ya uchi kulegea - Kegel exerciser

 

3. Njia nyingine ni kutumia vaginal muscle developers, vaginal cones, neuromuscular electrical stimulation na neocontrol. Hivi ni kwa wale ambao watakuwa na uwezo wa kuagiza vifaa hivi kutoka nje.

 

madura sticks

 

Wanawake wa mataifa mbalimbali ulimwenguni wamekuwa wakitumia njia mbalimbali kupambana na tatizo hili. Wanawake wa visiwa vya Madura huko Indonesia kwa karne nyingi wamekuwa wakitumia dawa iliyotengenezwa kutokana na majani yanayopatikana katika msitu ya visiwa hivyo. Dawa hiyo sasa imeboreshwa na kutengenezwa kiutaalamu zaidi na kuuzwa sehemu nyingi ulimwenguni. Katika tovuti hii nimeiita dawa hiyo “Dawa ya Madura“.  Unaweza kupata dawa hiyo kwa kuwasiliana nasi kwa kutumia njia zilizoorodheshwa hapo chini.

 

dawa ya uchi kulegea

 

Kwa mawasiliano tuma ujumbe wako kupitia ukurasa huu kwa kujaza fomu hapa chini , au tuma barua pepe kwa anuani promota927@gmail.com au piga simu kwenye nambari zifuatazo: 0655 858027 au 0756 181651.

 

 Hakikisha Unaandika Namba Yako Ya Simu!!

 

Jina Lako

Anuani Ya Barua Pepe

Namba Yako Ya Simu

Kichwa Cha Habari

Swali Au Maoni Yako

Pata Mahitaji Yako Ya Dawa Za Nje Kwa Matatizo Yanayokusumbua Ukiwa Tanzania. Boresha Afya Yako Kupitia Tovuti Hii